User Dashboard
Upload Icon
Register Icon
Login Icon
Close Icon
App Icon
PAMBA KALI OUTFIT
2+ downloads
Download APK Comment
Screenshot 1Screenshot 2Screenshot 3

PAMBA KALI ni duka la kisasa la mtandaoni linalokuletea mavazi bora kwa wanaume na wanawake. Tunajihusisha na uuzaji wa nguo za aina mbalimbali zikiwemo za mitindo ya kisasa, mavazi ya kawaida na ya kipekee kwa kila tukio.

Pia tunauza viatu vya ubora kwa ajili ya kukamilisha muonekano wako. Kupitia app yetu unaweza kuangalia bidhaa mbalimbali, kuchagua unachopenda na kupata huduma rahisi ya ununuzi kwa haraka na uhakika.

Kwa oda, maelezo zaidi au huduma kwa wateja wasiliana nasi kupitia:
+255 654616503

Pamba Kali – Mtindo wako, hadhi yako.

Comments

No comments yet. Be the first to comment!